Hahahaha Michuzi Wacha umbea sababu ya pesa lol! ila kidini sio vizuri kukojoa hapo wala kwa kusimama, pia mkojo ukitaka kuja sio vizuri kubana, Tatizo kubwa je Jiji la Dar-es-salaam vyoo vya public Sehemu nyingi vipo?...... wasionewe tu bure watu. Najifikirie je wewe likikutokea utakubali kujipatia aibu ya kujikojolea?. Seif.

ReplyDelete