
mkazi wa Mikocheni B ambaye jina lake halikufahamika mara moja,alikutwa na kamera ya Mtaa Kwa Mtaa katika eneo hilo la Mikocheni B akishusha vipande vya matofali kwa ajili ya kuziba shimo lililopo katikato ya barabara ya old Bagamoyo rodi katika eneo hilo.
No comments:
Post a Comment