HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 17, 2010

Watoto Wa Mitaani Waongezeka Kila Siku

Watoto wa mitaani wakiwa wameluzunguka shangingi lililokuwa katika foleni ya kusubiria kuruhusiwa na taa za kuongozea magari katika makutano ya barabara ya morogoro na kawawa rodi.idadi ya watoto hawa imekuwa ikiongezeka siku hadi siku na haijafahamika ni kwasababu gani idadi hiyo imekuwa ikiongezeka kwa namna hiyoo.
wakiwa wametanda kila mahali katika barabara ya morogoro rodi
vibosile wakiwa wamekula pozz kivulini huku wakipiga bajet ya matumizi watakayoyafanya pindi mkwanja utakapoletwa na vibarua (watoto) wao.hapa ni magomeni mapipa mchana huu.

1 comment:

  1. Katika kuendeleza mapendekezo.

    - Ghala ya kuihifadhi magari mengi kama hayo (10,000) ni mengi mno, tufanye kuanzia 200-400.
    -Kuwe na parking za ghorofa mijini, labda za ghorofa 4-5, za halmashauri ya jiji.
    -Bila kusahau majengo yoyote mapya lazima yawe na parking juu au chini (underground).
    -Kuwe na congestion charges kwa kila gari iingiayo jijini, labda sh. 300.
    -Kupunguza bei na ushuru wa basikeli, kui introduce pikipiki za kutumia betri za kuchaji, na pikipiki ndogo ndogo.
    -Kujenga fly overs, pale kwenye junction ya mwenge, morroco, magomeni mapipa, fire na salander bridge.
    -Kuongeza ukubwa wa barabara, mbili kwenda na 2 kurudi kwa barabara zote kubwa.
    -Kuhakikisha watu kufanya kazi kutokana na walipojenga, mfano wafanyakazi wa kuanzia victoria, kijitonyama, mwenge, mikocheni, kawe, mbezi beach, goba, kunduchi, tegeta, boko, bunju a na b na bagamoyo, wawe wanafanya kazi kwenye mji mpya (satelite town) ya bunju, ambapo, kutakua na ofisi ndogo za mabenki yote, wizara na mashirika ya umma yote, makampuni binafsi yatafuata nyayo.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad