
lazima ujue kufanya marekebisho madogo madogo katika chombo chako cha usafiri kama aonekanavyo dereva huyu ambae alikutwa na kamera ya mzee wa Mafoto (
BOFYA HAPA ukaone mambo yake) wakati akirekebisha plopela shafti iliyokuwa imeleta tatizo la ploblemu wakati akiwahisha bidhaa sokono.

dereva akiendelea kukomaa kurekebisha plopela shafti ili chombo kiweze kuendelea na safari.
No comments:
Post a Comment