HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 20, 2010

Mtoto Mzuri Kareen Robert Awasalimia Wadau

Hi,Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa.

Mimi ni Mdau wa blog yako ya Mtaa Kwa Mtaa na naipenda sana kwani inatusaidia kuyajua mambo mbali mbali ya mtaani.naomba unipe shavu katika blog yetu ya Mtaa Kwa Mtaa na pia naomba nitoe salamu kwa Baba,Mama na Dada pamoja na Kaka.natumai salamu zangu zimewafikia na tusisite kuendelea kuitembelea blog ya ukweli ya Mtaa Kwa Mtaa.

Ahsante....!!
Mdau Kareen Robert.

3 comments:

  1. Somewhere there's someone who dreams of your smile,
    and finds in your presence that life is worth while.
    So when you are lonely, remember it's true
    Somebody somewhere is thinking of you.Mr& Mrs Robert

    ReplyDelete
  2. My Daughter Kareenah 'Somewhere there's someone who dreams of your smile,
    and finds in your presence that life is worth while.
    So when you are lonely, remember it's true
    Somebody somewhere is thinking of you.'Your Mom & Your Daddy Love you.
    Mr& Mrs Robert

    ReplyDelete
  3. MAsha'allah This girl she is Cute Mwenyezimungu akuepushe kwenye mabaya akuweke kwenye mazuri Always.

    I can see Ur Mom And Dad there Proud of u ur goin to be one Special girl.

    Khalid.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad