
jamaa kaiingia kwa nyuma ndinga ya wale jamaa wavaa za mabaka (waangalie kwa pembeni pale wakichora mchoro wa ajali),halafu hawakutaka nini wala nini

hii ndio tabu ya kwenda mbio zisizo na msingi,sasa mcheki jamaa anavyojitetea pale kati wa wazee wa kazi,yaani hadi unamuonea huruma.
Kazi kwelikweeeeeeli hapo!!
ReplyDelete