HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 24, 2010

Hellen Dausen Ndie Miss Universe 2010

Miss Universe 2010/11 Hellen Dausen (23) kutoka mkoani Arusha akipunga mkono baada ya kutwaa taji la umalkia huo nchini katika ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar usiku wa kuamkia leo.Warembo washiriki wa Miss Universe wakionyesha ujuzi wao katika swala zima la kusakata dansi katika kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Universe kilichofanyika usiku wa kuamkia leo katima ukumbi wa Mlimani City ,jijini Dar.(picha na Father Kidevu Blog).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad