HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 10, 2010

Zanazz ATM

Ndugu yangu Cathbert akijichukulia zana muhimu katika ATM na anakaujumbe kake kanakosema,Swala la Kujijari linapaswa kupewa kipaumbele sana hasa katika maisha haya ya kileo hivyo tujijari,maana lile gonjwa la nanihii linawapotezea sana watu.Nami naungana kwa asilimia zote na ndugu yangu huyu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad