HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 10, 2010

Waziri Mkuu Ziarani Nigeria

Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Rais na Kaimu Rais wa Nigeria, Dr. Goodluck Jonathan kwenye hoteli ya Transcorp Hilton jijini Abuja anakohudhuria Mkutano wa Viongozi wa wakuu kuhusu maendeleo ya biashara na viwanda vya kilimo barani Afrika. Alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano huo.

1 comment:

Post Bottom Ad