
Dj Bon Love on the 1 & 2

Dj Nanihii pamoja na Dj Bon Love wakiwakilisha ndani ya Flava Nite

Dj Bon Love,Dj Bon Venture pamoja na mdau wa unyamwezini

Dj Oscar na mwanadada nanihii

Dj Ran Kim na Dj Bon Love

Dj Mackay na Dj Bon Love wakihakikisha kila kitu kinakwenda kama kilivyokuwa kimeandaliwa kwa ajili ya wapenzi wa Flava Nite katika kiota cha maraha cha Mzalendo Pub usiku huu.
No comments:
Post a Comment