

Dj Bon Love na mkewe Sabah Kiobya wakikata keki

Dj Bon Love akishirikiana na mkewe Sabah kumlisha Kekizz Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa

Dj Bon na Fidelin

Dj Bon akimlisha keki mwanadada nanihii huku mwingine akisubiria zamu yake

Mr & Mrs Bon Love wakiwa pamoja na mdau Tom na maifu wake katika besdei pati ya Dj Bon Love iliyofanyika usiku huu pale Mzalendo Pub

wimbo wa Besdei ukiendelea kuimbwa na wadau

Bon Love akilisha kipande cha keki Mackay

"raha ya keki ni kula kwa mkono yakheee"hivyo ndizyo alivyokuwa akiongea Gerald Hando

Frank akijiandaa kula kekizz

haa...!! yote hii??...Dj Bon Love akimlisha keki Dj Bon Venture

"haya na wewe Zoba kula keki"

mzee wa Hala 5 nae alikuwepo

Dj Bon Love akimlisha Keki mwanadafada Husna ikiwa katika kusherehekea hepi besdei yake ya kuzaliwa iliyofanyika usiku huu katika kiota cha maraha cha Mzalendo Pub.

Mwanamitindo Khadija Mwanamboka akiwa na Mdau

Dj Venture akiwa na wageni wake

hapa ni kicheko tuuu

super Model Martin kulia na mshkaji wake,wote wakiwakilisha ndani ya Flava Nite.

Mshkaji,Daniel pamoja na Jay

warembo kutoka DTB nao walikuwepo

Dj Venture na Flowers

Dj Oscer na Husna

Mdau ,Mzushi,Sabah pamoja na Besdei Boy Bon Love akiwa na ua lake la besdei

Venture (wapili kulia) akiwa na washkaji zake waliofika Mzaleondo Pub usiku huu katika usiku wa maflava

No comments:
Post a Comment