
Mzee wa Mtaa kwa Mtaa akutana uso kwa uso na Darda King ambaye kwa sasa yuko hapa Bongo kwa mapumziko mafupi,Darda King ni mwanamuziki anaendeleza libeneke lake huko nchini Marekani.Bonyeza
HAPA kuona vitu vyake.

toka shoto ni Sam wa Machozi Band,Mdau kutoka Twanga Pepeta pamoja na Mzee wa kazi King Kif wakiwakilisha vilivyo ndani ya Zhong hua usiku huu.

Chaoga Tonge akiwa na best wake wa longi taimu

Mie na Judah Kilosa

Mdau Fanuel akiwa na warembo

warembo katika mapozz ya ukweli

Chaoga tena(kulia) akiwa na mshkaji wake Enock ndani ya Zhong hua Garden katika usiku wa Machozi Band
No comments:
Post a Comment