HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 17, 2010

Tabasamu La Kilaji

anaendelea kutabasamu huku akiwa haamini kama kweli kitu kimemalizika.huyu jamaa nilibahatika kumuona jana maeneo flan flan hivi huko mitaa ya kati nilipokuwa nikiendeleza libeneke la Mtaa Kwa Mtaa.halafu unaweza kuta hapo hata chakula hajala zaidi zaidi ni kufakamia tu hii midude.ama kweli tembea uyaone.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad