
naomba niwekee hili tangazo letu kwa ajili ya diesel service
kwa wale wenye magari ya diesel yanayosumbua matatizo yafuatayo...... kula mafuta mengi, yanatoa moshi sana, yanaingiza miss, engine ikipata moto yanazima, yanakosa nguvu, inakuwa na brake-fire, haliwaki, kujiongeza acceleration (mafuta)
tuna mitambo ya kisasa inabidi ututembelee skumoja ofisini kwetu walau utufotoe upaishe....
thanks
Rgds,
Barry
M-Tec Diesel Service
No comments:
Post a Comment