HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 8, 2010

Nyaya Za Umeme

katika pita pita zangu za Mtaa Kwa Mtaa nilijikuta nimeibukia huku Mchikichini,Manzese kama unaelekea uwanja wa Fisi na nilipoangalia juu hivi ndio nikaona hii hali ya hizi nyaya za umeme jinsi zilivyokaa na hapo ndipo nikaanza kujiuliza "hivi hizi nyaya zimewekwa na Tanesco au ni wakazi wa hapa tu ndio wameamua kujiwekea?" maana ukiangalia hiyo mikato jinsi ilivyokaa unaweza ukachoka kabisa.sasa tuwaombe wataalam wa maswala ya umeme watueleze juu ya hali hii.

1 comment:

  1. Sasa Mzee Othman unataka mitaa ya kwetu tusipate kuona Blog yako? Utakuwa hukatizi tena mitaa ya huku oooohooooooo we subiri tu haahaha From Pazi.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad