
kwa nyuma
Kaka hiki chuma kiko sokoni,sasa kama vipi wawekee wadau hapo Mtaani kwetu ili waweze kujithaminishia wenyewe,Gari ni Honda CRV,model 2000,colour metalic golden,automatic,imetembea mileage hizi hapa tu 47000, 4 cylinder.bei ni maelewano.
kwa mawasiliano zaidi namba hizo hapo
Mob:+255784524148/+255715524148.
No comments:
Post a Comment