HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 20, 2010

NITASOMA Scholarship,Kutangaza Mshindi Wa Simu Ya Mkononi Machi 22,2010


Mshindi wa kwanza kwa shindano la NITASOMA scholarship promosheni atatangazwa rasmi jumatatu 22/03/2010.
Shiriki shindano hili kwa kutuma sms NITASOMA SEC, au NITASOMA HIGH , NITASOMA UNI kwenda 15767 kwa sekondari, au Alevel au Elimu ya juu na ufundi.

ELIMU KWANZA!!!

kwa taarifa zaidi,tembelea hapo

http://nitasoma.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad