
Askari Polisi akiwa katika doria wakati Tanesco kwa kushirikiana na watu wa Tanroads Dar es Salaam walipikuwa wakiyaondoa mabango marefu ya Kanisa la Full Gospel Bible Felowship la Mchungaji Zachari Kakobe yaliyokuwa katika njia mpya ya kupitisha umeme mkubwa kando kando ya barabara ya Sum Nujoma

msela akiwa amejifadhili taa moja wako iliyokuwa ikimulika bango hizo.

bango chaliii.....
Picha zote na Father Kidevu Blog.
No comments:
Post a Comment