HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 22, 2010

Mawakala Wa Miss Tanzania 2010 Wapigwa Msasa.

Mkurugenzi wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa semina ya mawakala wa Vodacom Miss Tanzania 2010 kutoka sehemu mbalimbali nchini katika Hoteli ya Giraffe, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Huduma na Bidhaa wa Vodacom, Elihuruma Ngowi na Mshauri wa Miss Tanzania Dk Ramesh Shah.
Kutoka kushoto ni Awetu Salim, wakala wa Wilaya ya Bagamoyo, Nasib Mahinya wakala Mkoa wa Pwani na Sylivia Mwakilufi wa Miss Njombe.
Baadhi ya mawakala wa Vodacom Miss Tanzania 2010 kutoka sehemu mbalimbali nchini wakiwa katika semina yao katika Hoteli ya Giraffe, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Jackson Kalikumtima wakala wa Miss Ilala, Ben Kisaka wakala wa Miss Temeke na Asmah Makau mwandaaji wa Miss Tanga.
Kamati kuu ya Miss Tanzania pamoja na Mgeni Rasmi wakiwa katika picha ya pamoja na Mawakala wa Vodacom Miss Tanzania kutoka sehemu mbali mbali nchini mara baada ya hafla ya ufunguzi wa semina ya mawakala hao katika Hoteli ya Giraffe, Dar es Salaam.(picha kwa Msaada wa Father Kidevu Blog.)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad