HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 21, 2010

Kijiweni,Kariakoo

nikiwa kijiweni Kariakoo mchana huu na hapa niko na jamaa zangu wa kijiwe hicho tukiwa tayari tayari kwaajili ya kwenda kucheki mechi ya ukweli baina ya Liverpool na Man Yuu katika bigi skrin pale Kidemi Bar.na Leo Man lazima ale vidude viwili tu kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.

1 comment:

  1. Eeeeeeee!!!!!!!! bwanaeeeeee imekula kwako umetuona watoo wa man u mbona umekaa kimya liverpool mmefulia saizi mpaka ubingwa tunabeba J,S.P AMEIPAIPAISHA MAU YUU KILELENII UNABISHA

    ReplyDelete

Post Bottom Ad