
huyu ndie mshindi wa kilaji cha Wine toka Overmeer

Dj mkongwe na ambaye amedumu katika libeneke hili,Dj Paul Mc G (Legand) akimkabidhi mshindi wa kukata nyonga vyema zawadi yake ya Wine.

mzushi akiwakilisha kama kawa.

mduariko umekolea

Mdau wa Mtaa Kwa Mtaa nae akijiachia kinamna

mambo imekolea,shoto ni Khadija Mwanamboka,Fidelin pamoja na Martin wakisakata magoma kwa raha zao ndani ya Mzalendo pub katika usiku wa maflava ya uhakika.

kwaitozz la kwa mzee Madiba likipagawisha mashabiki wa Flava Nite waliofika katika kiwanja chao cha kujidai cha Mzalendo Pub usiku huu.

magoma moto moto yamechanya.

zile za longi nazo kama kawa,wapenzi kibao wa mapigo hayo kama waonekanavyo pichani.
BONGO NI SOOOOOOOOOO HATA HAWA WAHINDI WEKUNDU HAPA KWA MARADONA WAMEKUBALI NA SALUT HAHAHAHAHAHA
ReplyDelete