leo nilipokuwa katika pilika pilika zangu za kila siku niliibukia mtaa wa India pembezoni mwa Hospital ya Hindu Mandal na kukutana na mafundi hawa wakipiga finishingi jengo hili,ila hili jengo limejengwa fasta kwelikweli.
fasta sio tatizo limekaguliwa lisije likawa kama lile jengo la mafia
ReplyDeleteMmmmhhhh! kazi hizi jamani, maana hapa wakiangua duh!! Jengo laonekana kupendeza.
ReplyDeletejamani! safety iko wapi hapo
ReplyDeletetwo words. HEALTH and SAFETY! Ni hayo tu.
ReplyDelete