kila siku zinavyozidi kusonga na vipendezesha jiji vinazidi kuongezeka,pichani ni baadhi ya mijengo inayoendelea kupandishwa ndani ya jiji hili la Dar.Je,waweza tambua mahala yalipo majengo haya??
Jamani muwe mnahandika na mapungufu,Jengo la Vyumba 12 chini lina maegesho ya magari manne(4) tu.
ReplyDelete