HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 15, 2010

Ajali Haina Kinga

Gari la Polisi lenye namba PT 1377 likiwa limetumbukia kwenye mtaro katika barabara ya Kilwa rodi jijini Dar usiku wa kuamkia leo. haikufahamika mara moja kama gari hilo lilikuwa kwenye doria au vipi hata hivyo wasamalia wema waliofika eneo hilo la tukio walifanikiwa kumnasua Dereva wa gari hilo ambaye alionekana kupoteza fahamu kwa mshituko wa ajali hiyo.picha ni kwa msaada Full Shangwe Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad