
Taa ya kuongozea watu watembeao kwa miguu ikiwa imeanguka chini kutokana na sababu zisizoeleweka mpaka sasa.taa hii iko katika hali hii yapata wiki sasa na hakuna mtu hata mmoja alieweza kuchukua uamuzi wowote tuu ya kitendea kazi hiki.sasa sijui hawaioni???

sijui ndio wanaifanyia makusudi??
No comments:
Post a Comment