HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 17, 2010

Biashara Inapogoma Kwenda!

"Dahh sijui leo kuna mkono wa mtu,maana mpaka sasa hakuna hata alieulizia??" ni kama asemavyo mama huyo alieshika kichwa ambaye ni muuzaji wa mayai akiwa pamoja na mwenzake wakati wakisubiri wateja katika Mtaa wa Kisutu jijini Dar. Trei moja kwa sasa huuzwa kati ya Sh. 6500 hadi 7000.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad