maana ukiyaangalia hayo maji kiukweli hayafai hata kuyagusa kwa jinsi yalivyo machafu,lakini watoto hawa ndio kwaanza wanazidi kupiga kazi ya kuvua (sijui wanavua samaki wa aina gani?) kama kamera ya MTAA KWA MTAA ilivyowafumania watoto hawa maeneo ya Kawe katika mtaro mmoja uliopo kando kando ya barabara ya oldi Bagamoyo rodi.
No comments:
Post a Comment