
jengo la zamani la ofisi za magazeti ya Serikali ya Daily News,lililopo mtaa wa azikiwe limeanza kula nyundo rasmi kwa kupisha ujenzi wa jengo lingine la kisasa.mpaka sasa bado sijapata fununu ya kitu gani kinachokuja hapo baada ya jengo hili kula nyundo,nikizinasa za uhakika tutajuzana kama kawa.
No comments:
Post a Comment