HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 18, 2009

Dereva Wa Gari Hii Alikuwa Anafikiria Nini??

maana sehemu aliyotaka ku yuu tani sio haiendani kabisa na hiyo ndinga.sasa sijui tuseme alitaka ku saba tan au L tan,maana hii ndinga ilikatiza katikati ya kivuko cha watembea kwa miguu pale kinondoni Moroco.sasa sijui huyu dereva ni mtaalam sana au ni ndumu zimepiga mzigo kisawasawa kichwani kwake!!!??mie sijui.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad