Habari Wasikilizaji wa MK Music Galaxy,
Tunapenda kuwatangazia ya kwamba, Kutokana na Sababu za Kiufundi Ktk Servers zetu za Linux, MK Music Galaxy haipo hewani kwa Muda huu, Tunajitahidi kadri tunavyo weza kuirudisha hewani.
Kwa Sasa website tumeiweka hapa http://81.103.196.23/ kwa muda.
Samahani kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
No comments:
Post a Comment