
Tunapenda kutoa shukrani kwa wote walioshiriki kwenye msiba wa mama yetu mpendwa mama mary donata watondoha aliefariki tarehe 29/05/2009 na kuzikwa tarehe 01/06/09 kwenye makaburi ya ukuta kinondoni.
Sisi watoto wa marehemu tunatoa shukrani kwa watu wote walioshiriki kwa hali na mali kuanzia kuumwa kwakwe mpaka kupatwa kwake na mauti na kukamilisha safari yake ya mwisho ni ngumu kuwataja majina moja moja kwa maana hiyo ningeomba kuwapa asante sana toka moyoni kwetu kwa wote walioshiriki nikiwataja wachache:
Madaktari wa Aghakhan hospital na Muhimbili Hospital,Padri Tegete Paroko msaidizi wa parokia ya UKongana wanajumuiya wa parokia ya ukongawanajumuiya ya SEGOCCM-mkoa wa dar
Na wengine wote ambao sikuweza kuwataja hapa ila mchango wao ndio tumeweza kufanikisha kila jambo.Bwana ametoa na bwana ametwaaJina lake litukuzweRaha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazieApumzike kwa Amani.
Amina
No comments:
Post a Comment