HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 6, 2009

bustani yetu yaota mbaya

katika katiza katiza zangu za kila siku maeneo mbalimbali ya jiji,nilibahatika kukatiza hapa maeneo ya posta mpya na kukuta ile bustani yetu iliyodumu kwa kipindi cha kama mwezi na ushee ikiondolewa katika eneo hilo na kupelekwa sehemu husika.sijui siku zote hizo walikuwa wapi??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad