HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 20, 2009

precision air yaongeza safari ya kwenda entebbe


DAR-ENTEBBE & KIA-ENTEBBE MARA NNE KWA WIKI

Kuanzia Julai 2, 2009 siku za kusafiri kati ya Dar na Entebbe kupitia Mwanza, vilevile kutoka Kilimanjaro kwenda Entebbe kupitia Mwanza zimeongezeka na kuwa 4 kwa wiki.


Kila Jumatatu, Alhamisi, Ijumaa na Jumapili ndege itaondoka Dar saa 12.00 asubuhi na kuondoka Entebbe saa 6.25 mchana kurudi Dar.



Ndege itaondoka Kilimanjaro saa 3.15 asubuhi na kuondoka Entebbe saa 6.25 mchana.
Kwa maelezo zaidi piga simu no.
+255 787 888 408/409/417
au
+255 22 2168000


Imetolewa na Ofisi ya Mawasiliano,Precision Air

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad