HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 27, 2009

watu wa haki za binadamu mko wapi???


Mfanyabiashara wa nyanya katika soko kuu la Kariakoo aliye fahamika kwa jina moja la Veronica akipambana na Askari Mgambo wa Jiji wakati walipokuwa wakichukua bidhaa zake ,kitendo hicho kimempelekea mama huyo kuachwa uchi alipokuwa akipambana na Mgambo hao ambapo katika haki za binadamu jambo hilo limekuwa ni kinyume kabisa.sasa sijui hivi ndivyo Mgambo wa jiji wanavyotakiwa kufanya wawapo katika shughuli zao za kila siku??? picha na Jiachie Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad