mambo yanazidi kuwa mswano bongo,maana kila kukicha na jinsi siku zinavyozidi kwenda basi na ndivyo majengo mazuri mazuri yanavyozidi kushamiri.hiki kitu cha BMTL ambacho kipo pale victoria jirani kabisa na ile kampuni ya ulinzi ya knight support
No comments:
Post a Comment