
kila siku zinavyozidi kwenda na ndivyo nyumba kuu kuu hapa mjini zinavyozidi kula nyundo ili kupisha vikwangua anga vinavyendelea kulipendezesha jiji letu hili,jengo hili lipo katikati ya mtaa wa kaluta na india street,pembezoni kidigo mwa barabara ya morogoro rodi.
No comments:
Post a Comment