
katika katiza katiza zangu za kila siku katika mtaa kwa mtaa,nililikuta basi hili katikati ya mtaa wa samora avenyuu,likiendeleza libeneke lake la kula vichwa na kuteremsha wengine,nilibaki kushangaa tu kwani mimi ninavyofahamu hapa hakuna kituo sasa leo kimetoka wapi?
No comments:
Post a Comment