
kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu,nilishindwa kabisa kuwafikishia mambo mengi katika mtandao wetu huu,kwa sasa mambo yote yako poa na libeneke litaendelea kama kawaida.hapa nilipo ni kwenye raundi abauti ya mzunguko wa magari na pilikipi iliyopo jijini Mbeya ambapo nilikuwepo siku za hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment