niko mitaa ya kati katika jiji la Mbeya na msela wangu Ally ambapo nilikuwa huko kwa vekesheni fupi,msela wangu huyu nae ameamua kujichanganya katika libeneke la kublogu kwa spidi ya ajabu,ambapo anapatikana katika wanja lake hilo kwa kubofya hapa.
No comments:
Post a Comment