maana unapata pancha sehemu ambayo hata hukuitegemea,halafu spea tairi nimeiacha kwa mziba pancha ambapo nilitegemea kuwa nikimaliza mizunguko yangu ndio niipite,duu sijui itakuwaje hapa?
Aiseee hapo ni hatari hivi umepata wazo kwamba mtu anaweza kukupitia maana uko karibu sana na barabara??? Pole sana. Sasa ulifanyaje?
ReplyDelete