tena usiombee jua lizame halafu bado uko katika misele,utalia maana utaomba hata suluali uliyovaa iwe kubwa ili uingie humo kwa kutafuta joto.tena hiki ndio kipindi chake kabisa,kama unabisha nenda halafu ukirudi utaniambia.
No comments:
Post a Comment