
Kombe la Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara lililokabidhiwa kwa timu ya Yanga jana.

Mkurugenzi wa Idara ya Maelezo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko(kulia)akimkabidhi Kombe la Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara,Kapteni wa Yanga Boniface Ambani(kushoto)na katikati ni Meneja Udhamini wa Vodacom Tanzania ambao ni wadhamini wa Ligi hiyo Emillian Rwejuna

Wachezaji wa Yanga wakiwa katika picha ya pamoja na mwali wao baada ya kutawazwa kuwa mabingwa kwa mara ya pili mfululizo wa Vodacom Premier League.Mrisho Ngassa alietoka nchini Uingereza hivi karibuni nae hakuwa mbali na klab yake wakati wa kupokea ubingwa hapo jana.picha na
Issa Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment