pikipiki ni nzuri sana tena sana,maana inakuwezesha kufika haraka safari zako,kwenye foleni hujipangi kama magari,lakini ikifikia hali kama hii hapo ndipo utakapo ichukia hiyo pikipiki.sasa ona kama ilivyomfanya huyu jamaa hapa.
No comments:
Post a Comment