maana nakumbuka kipindi kile sisi tunabukua mambo kama haya yalikuwa kama kawa,ilikuwa ukipewa deli la askilimu na ticha wako halafu ukagoma au ukaauza halafu ikatokea shoti kwenye hizo askilim zake basi ujue hili lazima likukute.picha ni kwa msaada wa mkuu Mpoki Bukuku a.k.a Mzee wa Sumo.
No comments:
Post a Comment