
vijana wa mtaa wa twiga na jangwani (Yanga) ,leo wanatupa karata yao kwa mara nyingine katika kinyang'anyiro cha klabu bingwa afrika,ambapo kitamenyana na vijana wenjao wenye asili ya kiaarabu kutoka kule nchini Misri wanaokwenda kwa jina la Al-Ahli,ambapo inakuwa ni mechi ya marudiano ambapo Yanga walipoteza mchezo wa kwanza kwa kukubali kichapo cha mabao 3-0,hivyo leo tunatakiwa kuimbea dua zote timu yetu hii ili iweze kushinda na kuiwesha kuendelea na mashindano hayo.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Yanga.
No comments:
Post a Comment