KWA HABARI ZILIZOPATIKANA HIVI PUNDE KUTOKEA MAENEO YA MBAGALA KIZUIANI,INASEMEKANA KWAMBA GHALA NA SILAHA ZA KIJESHI LILILOPO MAENEO YA MBAGALA KIZUIANI LIMELIPUKA NA KUSABABISHA WATU KUKIMBIA MAKAZI YAO NA UHARIBIFU MKUBWA WA MAKAZI YA WATU HA PAMOJA NA KUJERUHI BAADHI YA WATU NA WENGINE KADHAA KUPOTEZA MAISHA,HII HALI IMEKUWA IKITISHIA SANA MAISHA YA WAKAZI WA JIJI NA DAR.HATA HIVYO WAZIRI WA ULINZI NA USALAMA AMEAMURU WATU WOTE WALIO KATIKA MAJENGO MAREFU KATIKATI YA MJI WAONDOKE KABISA KATIKA MAENEO HAYO KWA HALI IMEISHA KUWA MBAYA.TUTAENDELEA KUJUZANA BAADAE KINACHOENDELEA JUU YA TUKIO HILI LILILOLIKUMBA JIJI LETU LA DAR.HIVYO TUVUTE SUBIRA KIDOGO..
Wednesday, April 29, 2009

Home
Unlabelled
mtikisiko ndani ya jiji la dar leo
mtikisiko ndani ya jiji la dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mwanangu tunakuaminia mwaga picha ili tuone hali halisi ya sehemu hiyo ya jiji.tulio nje ya nchi tunafuatilia kwa makini sana.
ReplyDelete