haya ndio mambo yapatikanayo mitaani kwetu huku,huku kwetu kilakitu huwa kina wezekana na hakuna kinachoshindikana,si mnaona wenyewe? hapo hivyo viatu vimeanikwa ili vikikauka mwenyewe avitinge na aendelee na misele yake kama kawa.
No comments:
Post a Comment