HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 15, 2009

liva yafa kiume

TIMU YA SOKA YA LIVERPOOL YA KULE NCHINI UINGEREZA KWA BIBI,LEO IMETOLEWA KWENYE MASHINDANYO YA KLABU BINGWA ULAYA MARA BAADA YA KUKUBALI SARE YA BAO 4-4 NA TIMU YA CHELSEA,ZOTE ZA NCHINI UINGEREZA AMBAPO MECHI YA AWALI LIVERPOOL ILIKUBALI KICHAPO CHA MABAO 3-1 NA TIMU HIYO YA CHELSEA,KWA KUTATHIMI HARAKA HARAKA KIUKWELI REFA NDIE ALIEHARIBU GEMU HILI AMBALO NAAMINI KABISA KUWA TIMU YA LIVERPOOL INGEWEZA KUIBUKA KIDEDEA,PIA HATA KIPA KACHANGIA KUWACHANGANYA+WACHEZAJI WAKE MARA BAADA YA KUJIFUNGA MWENYEWE.HALAFU HAWA CHELISII WANABAHATI SANA LEO MAANA KEPTENI WA LIVER HAKUCHEZA.JAMANI MWENZENU NIKO KATIKA MAUMIVU YA KUFUNGWA NDIO MAANA MNAONA NAONGEA KWA UCHUNGU SANA.LAKINI HIVI NDIVYO GEMU LINAVYOKUWAGA HIVYO KUTOLEWA MWAKA HUU NDIO KUJIPANGA MWAKA UJAO.

1 comment:

  1. Wewe kweli mbongo, yaani umeishatoa sababu kwa nini mmefungwa? wewe ulisikia press conference? Kocha wa Liverpool alisema mchezo huo ulikuwa mgumu sana, unapocheza na timu kama Chelsea ukifanya kosa moja basi wanatumia nafasi hiyo. Naye Kocha wa Chelsea kwenye press conference alisema kuwa mchezo ulikuwa mgumu sana, hasa ukizingatia Liverpool ni timu bora. Sasa makocha wamaetoa tathmini ya mechi lakini huko bongo kama kawaida, sababu refa, mara golikipa amesababisha...kaka hiyo ndiyo soka, hata mimi ni Liverpool wa nguvu sana..

    Allen,
    London

    ReplyDelete

Post Bottom Ad