Kutoka kulia ni Willem kutoka Uholanzi rafiki yake na mwanamuziki Fid Q, De Plaizir, Fid Q, mtangazaji wa radio Clouds,Sofia Kessy na Chid Benz wakipata chakula cha mchana na watoto wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu cha Tanzania Mitindo House.Mwanamuziki De Plaizir (katikati)akiwa na mlezi wa kituo cha Tanzania Mitindo House (TMH),Khadija Mwanamboka wakipiga picha ya pamoja na watoto hao mara baada ya mwanamuziki huyo mwenye makazi yake nchini Uingrerza kuwasili kituoni hapo leo kulia nyuma ni mtangazaji wa Radio Clouds Sofia Kessy.
Mtoto Mariam anayelelewa katika kituo hicho akimlisha keki mwanamuziki De Plaizir kama ishara ya kumkaribisha kituoni hapo kwa chakula cha mchana leo,mwanamuziki De Plaizir ni mkongo anayefanya kazi zake za muziki nchini Uingereza.picha na Full Shangwe Blog
Sunday, April 12, 2009
Home
Unlabelled
wanamuziki wa bongo freva na mwanamuziki de plaizir washerehekea pasaka na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha thm
wanamuziki wa bongo freva na mwanamuziki de plaizir washerehekea pasaka na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha thm
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment