
Wakati umefika wa watanzania kujua yupi msema kweli na yupi ni tapeli wa siasa,wakiwa wanaomba kura wanasema wakichaguliwa watajenga vituo vipya vya afya na wakichaguliwa tu,haooooo wako huko mjini na na wanaendelea malibeneke yao huku huduma za matibabu ndio kama hizi.picha na mdau Young kutoka FotoBaraza.Net
No comments:
Post a Comment